BAADA ya kuimarika kwa njia za kidijitali za kuuza muziki, mwitikio wa wasanii hasa wale wa Bongofleva kutoa albamu ulirejea lakini kwa mwaka 2025 unaoelekea kuisha, tunaweza kusema wametegeana!.