Mashabiki wa Simba na Yanga watacheza mechi ya kirafiki, Jumapili, Desemba 21, 2025 kwa lengo la kuhamasisha upendo na umoja baina yao.
BODI ya Ligi Zanzibar, imeitoza faini ya Sh1 milioni Black Sailors inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Zanzibar kwa kosa la ...
BALA Hatun ni mwanamke shupavu katika historia ya Dola ya Ottoman na katika tamthilia ya The Ottoman mhusia huyu amekuw ...
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Riziki Pembe Juma, amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa viwanja vya michezo unaoendelea katika Mkoa wa Kusini Pemba.
Timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, itashuka dimbani leo Jumanne, Desemba 16, 2025 kuivaa timu ya taifa ya Misri, ...
Kompyuta mahiri ya takwimu ya Opta Supercomputer, imetoa utabiri wa mataifa yenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, mashindano yatakayoanza wikiendi ...
KLABU ya KVZ inayoshiriki Ligi Kuu Soka Zanzibar, imemtambulisha Malale Hamsini kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, huku ...
JIJI la Arusha limeendelea kung’ara kwenye ramani ya soka la vijana barani Afrika baada ya jumla ya timu 150 kushiriki ...
Baada ya kizazi cha Chuji kikaja kizazi cha kina Jonas Mkude. Tulimuimba sana. Fundi wa mpira ambaye aliurahisisha mpira ...
Yanga imekuwa ikihusishwa na Amosi tangu msimu uliopita alipodaiwa alikuwa hatua ya mwisho kutua Jangwani akitokea Tanzania ...
Winga Joshua Mutale ni mchezaji mwingine mkataba wake upo ukingoni na yupo sokoni kwa sasa kwani kama mabosi wa Msimbazi ...
KOCHA, David Moyes amethibitisha kuwa Jack Grealish anasumbuliwa na maumivu ya misuli ambayo yatawaacha kwenye pigo kubwa.
Unele rezultate au fost ascunse, deoarece pot fi inaccesibile pentru dvs.
Afișați rezultatele inaccesibile