Yanga imekuwa ikihusishwa na Amosi tangu msimu uliopita alipodaiwa alikuwa hatua ya mwisho kutua Jangwani akitokea Tanzania ...
Winga Joshua Mutale ni mchezaji mwingine mkataba wake upo ukingoni na yupo sokoni kwa sasa kwani kama mabosi wa Msimbazi ...
KOCHA, David Moyes amethibitisha kuwa Jack Grealish anasumbuliwa na maumivu ya misuli ambayo yatawaacha kwenye pigo kubwa.
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amemtetea straika Viktor Gyokeres kwa kiwango chake alichokionyesha dhidi ya Wolves na badala ...
ALIYEKUWA mmiliki wa Tottenham Hotspur, Lord Alan Sugar amewataka mabosi wa sasa wa timu hiyo kumwajiri kocha Jurgen Klopp ...
KIUNGO wa Brighton, Carlos Baleba amekiri kwamba tetesi za kutakiwa na Manchester United zilimfanya kuwa na presha kubwa na ...
KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amemtaka kiungo Kobbie Mainoo kumtazama Casemiro kama mfano ili kubadili hali ya ...
WAKATI beki wa kati wa Coastal Union, Haroub Mohamed, akibakisha miezi sita katika mkataba wake na kikosi hicho cha jijini ...
UONGOZI wa Mbeya City huenda ukaachana na mpango wa kumtema kiungo Mnigeria, Paschal Onyedika Okoli katika dirisha dogo la ...
BEKI kisiki wa timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Noela Luhala amevunja mkataba na klabu ya 1207 Antalya Spor ya Uturuki ...
ULE upepo mzuri ilioanza nao Malindi katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), umekata baada ya kucheza mechi saba mfululizo sawa na ...
MCHAKAMCHAKA wa mashindano ya ubingwa wa Afrika kwa timu za soka za taifa unatarajia kuanza Jumamosi hii na mataifa yataanza ...
Unele rezultate au fost ascunse, deoarece pot fi inaccesibile pentru dvs.
Afișați rezultatele inaccesibile